Ukaguzi mahali pa kazi

Naibu wa Kazi na Ajira Mheshimiwa Dk. Makongoro Mahanga  akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha chuma Mikocheni Dar es salaam kama sehem ya ukaguzi kuhusu masuala ya ajira, afya na usalama mahali pa kazi